DARFUR YACHAFUKA VITA
Raia wa Sudan wameyahama makazi yao kufuatia
mapigano makali
Yanayoendelea katika mgodi wa dhahabu katika jimbo
la Darfur
Magharibi mwa sudan,
Inasemekana kuwa watu wengine wamekimbia makazi yao
na kwenda
Miji ya jilani ili kutafuta hifadhi katika shule
ambazo zilifungwa kuweza
Kupata hifadhi, pia vurugu hizo ni za hivi karibuni
kushuhudiwa katika
Eneo hilo ambalo limekuwa likikabiliwa na mizozo ya
mara kwa mara.
0 maoni:
Post a Comment