YANGA YATOKA 1-1 DHIDI YA MTIBWA
Kikosi cha vijana wa jangwani watolewa urimi na
kikosi cha mtibwa sugar
Katika mchezo uliotimua vumbi katika kiwanja cha
taifa jijini Dar es salaam
Na mchezo kuitimishwa kwa bao moja kwa moja.
Katika kipindi cha kwanza cha mchezo mtibwa
ilijipachikia bao lake la kwanza
Na kuwaacha nyuma yanga, lakini katika nyakati za
mwisho za mchezo vijana
Wa jangwani waliweza kuchomoa bao hilo na kupelekea
mchezo huo kuwa wa
Bao 1-1
0 maoni:
Post a Comment