IVORY COAST BAI BAI
Kikosi cha timu ya Nigeria imeichapa timu ya Ivory
Coast kwa ushindi wa
Mabao mawili kwa moja na kutinga katika hatua ya
nusu fainali ya michuano
Ya kombe la mataifa Afrika inayotimua vumbi nchin
Afrika kusini.
Timu ya ivory coast ilikuwa ndiyo timu ambayo
ilipewa nafasi kubwa ya
Kutinga nusu fainali kutokana na kikosi chake kuwa
na wachezaji wengi
Wanaoshiliki ligi kubwa duniani.
0 maoni:
Post a Comment