WAASI NCHINI MALI WATAWANYIKA
Ndege za kivita za Ufaransa zimeshambulia ngome ya
Waasi nchin karibu na mji wa Kidal, kaskazini mwa
Mali.
Vikosi vya jeshi la ufaransa na Mali viko katika
jitiada ya
Kuukomboa mji
huo ambao ni ngome ya mwisho ya waasi.
Inasemekana kuwa mashambulio hayo yameelekezwa
katika
Milima ya kaskazini mwa mji wa Kidal, ambako waasi
hao
Ndiko walikojificha, pia inaonekana kuwa waasi
waliouteka
Mji huo wanaweza kuuachia kwa mazungumzo.
Kikosi cha jeshi la Ufaransa kimeweza kuutwa uwanja
wa
Ndege wa Kdal nchini mali.
0 maoni:
Post a Comment