MESI KUBAKI BARCELONA
Mchezaji wa kikosi cha Barcelona, Lionel Mesi
amesaini mkataba wa
Miaka miwili na klabu hiyo, kwa mkataba huo Mesi
anaitumikia klabu
Hiyo mpaka mwaka 2018.
Mchezaji huyo mwenye uraia wa Argentina , Mesi 25,
ni mchezaji pekee
aliyevunja rekodi nyingi na klabu hiyo katika
kipindi cha miaka 8 iliyopita.
0 maoni:
Post a Comment