NANI BINGWA FAINALI ZA AFRIKA
Mchezo mkal;I unaosubiliwa Afrika kati ya Nigeria Burkina
Faso, katika
Fainali za kombe la mataifa Afrika 2013, mchezo huo
unatarajiwa kukiputa
Siku ya jumapili.
Fainali za mwaka huu zinafanyika nchin Afrika
kusini, ilishirikisha timu 16
Za Barani Afrika, huku mabingwa watetezi wakiwa
wametolewa katika
Hatua ya makundi.
0 maoni:
Post a Comment