UBAKAJI WA WATOTO WAPAMBA MOTO NCHINI INDIA
Shilika la kutetea haki za kibinadamu la Human
Rights Watch, limesema
Kuwa serikali ya India imeshindwa kabisa kuwalinda
watoto kutokana na
dhulma za kimapenzi ambazo zinatendeka sana katika
shule na taasi za
kuwatunza watoto.
Kwa mujibu wa shirika hilo zaidi ya matukio 700 ya
ubakaji wa watoto
Huripotiwa kila mwaka , ingawa wataalamu wanaamini
kuwa idadi hiyo
Huenda ikawa juu kuliko inavyokadiriwa.
0 maoni:
Post a Comment