PREZZO KUCHUKUA JIKO LEO
Msanii wa miyondoko ya Hip Hop nchini Kenya, PREZZO
,amefunga Ndoa leo na
Mwanadada wa kinigeria, SUSAN HARVEY GOLDIE, mjini
Lagosi , wawili hao
Walikutana katika shindano la BIG Brother ,nchini
Afrika kusini, nakuanzisha
Mausiano yao ya kimapenzi.
Atimae leo wameweza kuujuza umma kuwa walikuwa na
mapenzi ya kweli.
0 maoni:
Post a Comment