ASKARI KUUAWA HAPO JANA.
Askari polisi mmoja ameuawa na wengine wawili
kujeruhiwa kwa
kupigwa risasi na watu wanaotuhumiwa kuwa majambazi.
Askari huyo aliyeuawa ni PC Mwinyi jum na na
waliojeruhiwa ni
PC Jafari na Aminel tukio hilo jana jijini Dar es
salaam, mida ya saa
Tisa alasiri karibu na makao makuu ya kikosi cha
zimamoto ambapo
Askari hao walikuwa katika shughuli zao, ghafla
wakashambuliwa na
Majambazi watano walikuwa kwenye gari aina ya Carina
lenye namba za usajili
T 319 BSY, imedaiwa kuwa majambazi hao walikuwa
wakifukuzwa na polisi
Baada ya kupata taarifa kua wanakwenda kufanya tukio
ndipo walipoanza
Kukimbia na walipowakuta askari hao wengine
waliwamiminia risasi.
0 maoni:
Post a Comment