AREJESHWA UINGERZA KWA KUIGIZA MCHEZO WA MAUSIANO YA
JINSIA MOJA
Uganda imemrudisha nchini uingereza mtunzi wa mchezo
wa
Kuigiza kuhusu wapenzi wa jinsia moja ambao
ulimletea
maswahibu makubwa mpaka kukamatwa na kushtakiwa
na polisi nchini humo.
David, mwenye uraia wa uigereza alikamatwa mnamo
mwenzi
Septemba kwa kuonesha mchezo huo bira hidhini ya
serikali
Ya Uganda.
0 maoni:
Post a Comment