Mwanariadha mwenye ulemavu wa Afrika kusini Oscar Pistorius,
Amekamatwa na polisi na kuhojiwa kuhusu mauaji ya
mpenzi wake
Nyumbani kwake mjini Pretoria Afrika kusini.
Mkuu wa Polisi, Sarah Mcira, amewaambia wanahabari
kuwa mwanamke
Huyo alifariki nyumbani kwa mwanariadha huyo baada
ya kupigwa risasi
Ya mkono na kichwani, hata hivyo chanzo
hakijajurikana juu ya mauaji hayo
0 maoni:
Post a Comment