MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

CHRIS BROWN MATATANI TENA

Chris brown, ameyazua majanga tena, msanii wa muziki nchini marekani Cb, amekamatwa yeye na Bodygurd wake mara baada ya CB, Kumpiga mtu mmoja ngumi ya uso na kumvunja pua.
sababu kubwa ni CB, alikuwa anapiga picha na wasichana mara jamaa akapita nyuma na kuharibu picha hiyo, ndipo alipochukua sheria mkononi, lakini tukio hilo limesemwa kuwa jamaa alitaka kupanda Gari ya Tour ya CB, ndipo alipoamua kumchapa ngumi ya pua na kumtengua pua.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment