MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

GOOD NEWZ/ BAD NEWZ/ DOKTARI WA MICHAEL JAKSONYUKO HURU SASA.



 2
Aliyekuwa Daktari wa mwimbaji wa muziki wa Pop Duniani Michael Jackson, Conrad Murray, ameachiwa hurubaada ya kutumikia kifungo kwa muda wa miaka miwili.

Inasemekana kuwa Daktari huyo alitumia mlango wa nyuma kutoka katika jela hiyo ili kuwakwepa waandishi wa Habari  sambamba na mashabiki wa Michael Jackson, wenye hasra dhidi ya Doktari huyo.

Wanafamilia wa Michael Jackson, wamesema kuwa Dockta huyo ndiye aliyemptezea maisha MJ, hivyo si sawa kwa dokta huyo kuendelea na kazi yake kwani anaweza kusababisha majanga mengine, lakini Mwanasheria wake alisema kuwa yuko huru pia anaweza kuendelea na kazi yake ya kutibia watu.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment