20 Percent akipeana mkono wa Peace na Man Walter |
Mtayarishaji wa muziki nchini
Tanzania Man Walter, amemaliza tofauti kati yake na 20 Percent, pia anatarajia
kumtoa tena katika Game kwa kipindi kirefu alichokuwa amepotea katika muziki
nchini.
Man
amesema kuwa ameshamalizana na 20, na sasa wanataka kuja na ngoma kali tupu pia
20, alisema kuwa wadau wake wakae mkao wa kula kwani ukimya wake ulikuwa
kwasababu ya kupika vitu vizuri zaidi kwa mshabiki wake.
0 maoni:
Post a Comment