Bifu limekwisha na sasa wapo studio
wanataka kutoka na ngoma ya pamoja yani nawazungumzia mastar wa nchini Marekani
yani Chris Brown na Drake, waliokuwa na bifu ya muda mrefu lakini sasa
wamemaliza tofauti zao na kuhamua kufanya Ngoma ya Pamoja.
CB,
aliandika katika account yake ya Facebook, kuwa “ Hanging
with Drake in the Studio”
0 maoni:
Post a Comment