MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

LINEX , NIKO LIKIZO KWA MUDA WA MIEZI MINNE, SITOFANYA SHOW DAR.

Msanii wa muziki nchini , Linex , amefunguka na kusema kuwa hatofanya show yoyote kwa kipindi cha miezi mine, mpaka tar 14 mwezi wa pili mwakani ambapo itakuwa sambamba na siku yake ya kuzariwa.

Linex ameyasema hayo kupitia kurasa yake ya Instagram , kabla ya show yake ya mwisho iliyofanyika  Club Billicanas hapo jana.

Kikubwa ni kuwa msanii huyu anataka kuja kivingine hapo mwakani, hayo ni kutokana na status yake ya mwisho.


Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment