MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

MCHEZAJI WA NEWCASTLE UNITED APEWA SHAVU LA KUIGIZA FILAMU YA NGONO (XXXXX)

3rtqO
Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Newcastle United Faustiano Asprilla, amepewa ofa ya kuigiza Filamu ya za Ngono na kampuni moja inayojihusisha na utengenezaji wa filamu hizo nchini Colombia.
Asprilla amepewa ofa ya Peso Milioni 20 sawa na dola 10,000. Ambazo atalipwa mara baada ya kusaini mkataba wa wiki moja tu.
Kampuni ya Santa Latina ambayo ni moja ya kampuni zinazoongoza kwa utengenezaji wa Filamu za Ngono nchini Colombia, imevutiwa na muonekano wa mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 43, na kutaka kumpa shavu la wiki moja tu.
Mpaka sasa mchazaji huyo bado hajasema chochote au kujibu maombi hayo.


Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment