MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

NAY WA MITEGO KUSHINDANA NA WASANII WA AFRIKA MASHARIKI

Msanii wa Hip Hop nchini Tanzania Nay wa Mitego, anashiriki katika Nzumari Awards, na  ameweza kuingia katika nomination mbili kupitia Category mbili tofauti,

Nay alisema kuwa anashindana na wasanii kama vile Diamond, Rich Mavoko, Ommy Dimpoz, katika category ya msanii bora kutoka Tanzania na kipengele kingine ni kile cha Wimbo bora wa Africa Mashariki, hapo alisema kuwa yuko na wasani kama vile Mobina wa P unit na Badilisha wa Jose Chameleone.


Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment