MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

PICHA ZA KIM KARDASHIAN ZACHAFUA HALI YA HEWA MTANDAONI.

1017-kim-kardashian-instagram
Mpenzi wa Kanye West, Kim Kardashia,ameachia picha kwenye mtandao wa Instagram, akiwa amevaa nguo za ndani tu. Ili kuonesha umbo lake tokea kujifungua kwake.

Picha hiyo imezua mzozo mkubwa katika mitandao ya kijamii na watu wengi kufunguka kuusiana na picha hiyo. Na wengine kumsema kuwa ameshindwa kujiheshimu kufuatia kuwa kwa sasa yeye ni mama na anatakiwa kujiheshimu. 
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment