MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

THE GAME AMETUMIA $ 40K DIAMOND BONANZA KWA BIRDMAN .

1014-the-game-cash-money-instagram
The Game, amepata dili mpya na Cash Money Records , mara baada ya kusaini na Lebo hiyo Game, ametumia mkwanja wa kutosha $ 40,000, Kwa kununua mkufu wake na meneja wake mpya wenye nakshi nakshi za Diamond zenye logo ya Cash Money Records.
The Game amenunua mikufu hiyo wakati mmoja ukiwa zawadi kwa Rais wa lebo hiyo, Birdman na mwengine ni wake mwenyewe, mikufu hiyo mmoja ni wa madini ya Diamond na mwengine ni Platnum, kila mmoja umetiwa Diamond.


Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment