MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

TUMETOKA KIFUNGONI NA HAMASA KUBWA, MWANANCHI IMEANDIKA

MWANANCHI LARUDI: Mkurugenzi Mtendaji wa Mwananchi Communications limited (MCL)Tido Mhando akizungumza na waandishi wa habari jijini kuhusu kuanza uchapishaji leo wa gazeti la Mwananchi lililokuwa limefungiwa kwa wiki mbili. Kulia ni Mhariri Mtendaji wa gazeti hilo Denis Msacky. PICHA | FIDELIS FELIX 
Hatua ya kulifungia gazeti hili kwa sababu za kufikirika imesababisha maumivu kwa watu wengi, Vijana (Vendors) waliokuwa wakiuza na kusambaza gazeti hili pamoja na familia zao zinazowategemea wameumia.
Waandishi wa kujitegemea wanaolipwa kutokana na habari wanazotuma gazetini wameumia pamoja na familia zao. Hayo yalikuwa maneno ya mwananchi kufuatia kifungo cha wiki mbili kutokana na kuandika habari za kusababisha uvunjifu wa hamani.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment