MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

NIGERIA YATENGA MKWANJA MNNE ILI KUPAMBANA NA.....? PERUZI UJUZIKE NASI.



 
Rais wa Nigeria Goodluck Johnathan ametangaza mlipuko wa ugonjwa wa Ebola kama janga la kitaifa na kutenga zaidi ya dola millioni 11 kama mfuko wa kukabiliana na ugonjwa huo................


Shirika la Afya duniani WHO linakadiria kwamba takriban raia 960 wamefariki kutokana na ugonjwa huo nchini Guinea,Sierra Leone,Liberia na Nigeria.

Shirika la mafuta nchini Nigeria limefunga mojawapo ya kliniki zake kufuatia kisa kimoja cha ugonjwa huo.

Nacho kiwanda kikubwa cha kutengeza vyuma duniani ArcelorMittal kimeanza kuwaondoa wafanyikazi wake katika migodi yake ya chuma nchini Liberia kufuatia kuzuka kwa ugonjwa huo.
Kutoka BBC
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment