MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

YOUTUBE, YAANZISHA TUZO ZA MUZIKI BORA DUNIANI. (YOUTUBE MUSIC AWARDS)

Moja ya Mtandao mkubwa duniani YOUTUBE, umeanziasha Tuzo zake za Muziki yani ni YouTube Music Awards, tuzo hizo zitakuwa zikitolewa kwa wasanii waliofanya vizuri katika miaka ya hivi karibuni, katika tuzo hizo zitasindikizwa na Eminem pamoja na Lady Gaga. Katika jiji la New York , nchini Marekani.

Pia katika Tuzo hizo kutakuwa na Tuzo ya Video ambayo imewai kutazamwa sana Duniani kupitia mtandao wa YouYube, na kushare katika mitandao mengine yani ni Global Music – Video Views.

Majina yote ya wasanii watakao shiriki katika tuzo hizo yatatagazwa kupitia Mitandao tar 17.10.2013. na kura zote zitapigwa kupitia mitandao ya kijamii. Na Tukio zima litaonesha Live kupitia mtandao.


Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment