MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

MICHAEL JORDAN, KOBE BRYANT NI CHANPIONSHIPWISE

1001_jordan-lebron_kobe-02
Michael Jordan, LeBron James, Kobe Bryant. 

Veterani wa mpira wa kikapu duniani Michael Jordan, amefunguka na kusema kwamba mchezaji ambaye anamuhofia katika mchezo huo kati ya LeBron James na Kobe Bryant, alisema ni Kobe ndiye anayeweza kumsumbua kakini siyo LeBron.

MJ, aliendelea kwa kusema kuwa hajaona kama Kobe, kwa sababu ndiye mchezaji anayefuata  nyayo zake. MJ , alipigwa swali kuusi mchezaji gani ni mkali kati ya Kobe na LeBron, akajibu kuwa “"In terms of dominance in the game of basketball at this stage, it's LeBron. Lakini hilo jibu lilikuwa la kawaida ukilinganisha na upande waliojibu kwa Kobe, alimsifia kwa kusema kuwaChampionshipwise, it's Kobe." Ni wazi kabisa kuwa MJ anampenda sana Kobe.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment