MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

ZITTO KABWE AMFUNGUKIA NEY WA MITEGO


Kupitia mtandao wa Bongo5, wameandika kuwa baada ya Rita Paulsen a.k.a Madam Rita wa Bongo Star Search na Walter Chilambo kujibu wimbo wa Nay wa Mitego, Salamu Zao, ilikuwa imebaki zamu ya Mbunge wsa Kigoma, Zitto Kabwe, kujibu wimbo huo.

Kwa mujibu wa Mbuge huyp alisema kuwa Nay ni msanii wa pili wa Hip Hop, anayemkubali sana baada ya Roma, pia aliendelea kusema kuwa anakiheshimu kile alichokisema katika wimbo wake kwani ni kazi ya sanaa, haya ndiyo maneno yake kupitia tweeter. “   Ney amefanya sanaa. Nachukua maneno yake kama chagamoto. Ni kazi ya sanaa ninayoithamin sana.” Hayo yalikuwa majibu ya Zitto kupitia kurasa yake ya tweeter.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment