Kampuni ya Simu za Mkononi Ya Alcatel,
imezindua simu mpya yenye gharama ndogo kabisa ukilinganisha na matumizi ya
simu hiyo, ingawaje imewekwa Memory ndogo.
Alcatel 1010, inauzwa kwa bei ya Tsh 12,350. kupitia
simu hiyo unaweza kusikiliza nyimbo kupitia MP3 Player sambamba na Radio,
lakini usishangazwe na kuwa simu ya kisasa lakini haina uwezo wa Intanet, simu
hii itakuwezesha kupiga na kupokea simu tu.
0 maoni:
Post a Comment