Mkurugenzi wa Katiba, Sheria na haki za Binadamu wa NCCR-Mageuzi ,DK . Sengodo Mvungi |
Mkurugenzi wa Katiba, Sheria na haki za Binadamu wa
NCCR-Mageuzi ,DK . Sengodo Mvungi, amepoteza maisha leo nchini Afrika Kusini
alipokuwa akipatiwa matibabu baada ya kushambuliwa na majambazi nyumbani kwake.
Mvungi, alijeruhiwa kwa kukatwa mapanga maeneo ya
kichwani, huko nyumbani kwake Kibamba Msakuzi, mara baada ya tukio hilo aliwahisha
Hospitalini Muhimbili kitengo cha Mifupa {Moi} lakini hali haikuwa nzuri ndipo
alipoamishiwa nchini Afrika Kusini Kwa matibabu zaidi, mauti umemfika akiwa
huko A Kusini.
0 maoni:
Post a Comment