Mtandao wa kijamii wa Facebook, umeingiza
faida ya dola bilioni 2.02, kwa kipindi cha robo tatu ya mwaka, nusu ya faida
hiyo inatokana na matangazo yatokanayo na simu.
Mwazilishi wa mtandao huo, Mark Zuckerberg, alifunguka na kusema kuwa mafanikio makubwa
waliyoyapata kwenye robo hii yanaonesha kuwa tulijiandaa kwa hawamu nyengine ya
kampuni yetu.
Share za kampuni hiyo zimepanda bei maradufu tangu
kutangaza kuongezeka kwa mapato kwenye matangazo ya simu za mkononi, watumiaji
milioni 874 wa FACEBOOK, zaidi ya watu bilioni 1 duniani kote utumia simu za
mkononi, lakini utumiaji wa FB, umepungua kwa kasi katika nchi ya Marekani na Canada.
0 maoni:
Post a Comment