PREZZO NA MPENZI MPYA |
Rapper
wa nchini Kenya
Prezzo, amemmwaga Huddah Monroe, na sasa yupo na mtanzania mwengine aishie nje
ya nchi, Starlisha Tillya A.K.A Chaga Barbie.
Huddah, amefunguka na
kumuita Prezzo, Mbwa Koko, Mwanaume mzima hela hauna” hayo yalikuwa maneno ya
Huddah mara baada ya kuwa X kwa Prezzo.
Wakati huddah akitoa
maneno makali mpenzi mpya wa Prezzo naye amefunguka na kusema kuwa “ Funny how
sme past dnt wanna be tense….welcome to my future @ chaggabaebie#My size # GodlslnControl #
unrulyPrestar # Rapcellency”
Huddah alimpakia matusi na kumwambia Prezzo
kuwa hana lolote na kuendelea kwa kusema kuwa “ un future gain wewe ? mwanaume
mzima hela hauna , mbwa koko. Hayo ni maneno yam dada huyo kwa Prezzo.
0 maoni:
Post a Comment