DOGO JANJA |
Msanii wa kundi la Watanashati chini ya
Ostaz Juma, Janjaro, amefunguka na kusema kuwa yuko njiani kudondosha ngoma
yake mpya mwezi huu tar 23, ngoma hiyo itafanya na Producer wa B HITZ, Pancho
Latino.
Janjaro amewataka mashabiki wake kumchagulia jina la
ngoma hiyo mpya
0 maoni:
Post a Comment