Msanii wa Hip Hop nchini Tanzania, Kala
Jeremiah, anataka kuachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la WALE WALE,
Aliomshirikisha NAY LEE, ambao unatarajia kutoka na Video pamoja.
Kala amesema
kuwa wimbo huo utakuwa utahusu maisha ya kawaida sana yani ya kila siku ya watanzania.
Msanii huyo amesema kuwa wimbo wake utatoka tar
20,11,2013
0 maoni:
Post a Comment