MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

KIMOMBO CHA UGOKO CHAMTOKEA PUANI SHILOLE.



Shilole, alitoa shukrani kwa director wake kwa kutumia lugha ya kingereza, lakini alichokiandika alikijua yeye mwenyewe maana wadau hawakumuelewa, na kama mtu haujui kimombo basi usipoteze muda wako, hebu tazama haya maneno yake na majibu kutoka kwa shabiki zake.
..........................................................................................................................
 Shilole aliandika: I did ever think I would do a nice video like this thank you alot to my director @nisherbybee.

bara baada ya hiyo post yake haya ndiyo majibu ya mashabiki wake.

   [ @ ] nicrac1914 Lugha za majahazi!! Ongea Kiswahili tu utaeleweka vzr

    [ @ ] lisammbando Speaking English is not a joke Hahahahah
    [ @ ] clararobinso Me cjaelewa hiyo lugha mpz, kwan ulitaka kuandika nn hapo?
    [ @ ] pinnadelicious Jmn mbona mnapenda kumcritisize hvo mwenzenu sa amekosea nn nyie mnaojua, duh dis is too much
    [ @ ] teddybebe Jaman all in all si mmemuelewa.hata mbuyu ulianza kama mchicha kila kitu kinaitaji mazoezi na usione aibu hata wakikucheka mpenz jitahid tu utaelewa. @shilolekiuno
    [ @ ] teddybebe Kumbukeni hata nyie mlitoka huko hata kama mlisoma za kishuaa. Vizur kumsahihisha na sio kumbeza  4h
[ @ ] m_bongo her message sent, delivered, read and understood hicks. By the way english isn't her first language.
    [ @ ] tutupahamidu Did or didnt?!!thank you or thanks to my director?!
    [ @ ] raqey_unique Yeah her English is not gud but a bet u all understood wat she meant so stop hating
      [ @ ] pinnadelicious Kiswahili every one anajua so mdada wawatu anajitahidi awe internationally so km tumeelewa wat she mean mbona hakuna tatizo, sema bongo tumemeza!!!!
    [ @ ] eshyleta bora washushuliwe tu, coz baadae wanaleta nyodo za kiswanglish, et kiswahili hawezi baadhi ya maneno, km huwezi kithungu tumia lugha yako ya taifa
    [ @ ] makavlive @shilolekiuno mwisho wa ujuaji ni aibu...ona sasa, ungeandika kiswahili isingekua shida, kutaka ung'eng'ee shule yenye hujaenda...acha kuiga paka la baa wee ongea kinyamwezi unachokijua!
    [ @ ] auma_bebe we al knw dat english iz not our mothertongue n tz nxma mnaijua histry yke shilole ss y mnamponda hvyo bdala hta ya kumrekebisha? sio fair bna...
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment