EMINEM |
Rapper wa nchini Marekani , Eminem,
amefunguka mara baada ya watu kumsema vibaya kufuatia mstari wa nyimbo yake ya “Rap
God” iliyowakandia Mashoga au watu wanaofanya mapenzi ya Jinsia moja nchini
humo.
Jambo hillo limetokea zikiwa zimebaki saa chache za
kutoa Albamu yake mpya, jana alifunguka na kukanusha tuhuma hizo, kupitia
Interview aliyofanya hapo jana na Rolling Stone ‘ inapofikia hatua ya kuchana
mistari huwa silinganishi mistari ninayoimba na kile kinachochukuliwa, bali ni
rap tu ambayo naifanya.
Aliendelea kwa kusema kuwa hayo yalikuwa ni maneno tu,
pia hajawai kulinganisha na kile watu wanachokiisi katika hali ya kawaida,
zaidi ilikuwa kama kumuita mtu B##ch au
a##hole, hayo ni maneno tu.
0 maoni:
Post a Comment