Shirika la Umeme la Tanzania, {TANESCO} limewaomba
wateja wake wenye viwanda na migodi kupunguza matumizi ya Umeme nyakati za
Usiku ili umeme uweze kutumika majumbani.
Zoezi hili ni lamuda mfupi tu kwa taarifa zitokanazo
na shirika hilo la umeme Tanzania, sababu kubwa ni kutokana na matengenezo
katika Visima vya Gesi, matengenezo hayo
yatakwisha Novemba 26, mwaka huu.
0 maoni:
Post a Comment