Msanii wa muziki nchini Mrekani Beyonce,
ndiye msanii wa kwanza katika watu waliotafutwa sana mtandaoni yani ni Online
Searcher Engine, taarifa hiyo imetolewa na Bing ya nchini Marekani.
Kwa mwaka jana nafasi hiyo ilishikwa na
Kim Kardashian lakini kwa mwaka huu imeshikwa na Beyonce, na wapili kwenda kwa
Kim.
Katika nafasi tano za juu kwa wasanii
waliotazamwa sana
mtandaoni inakwenda hivi 1. Beyonce, 2.Kim K, 3.Rihanna, 4.Taylor Swift na tano
bora ilishikwa na Madonna. Wakati msanii walishika nafasi ya pili kwa mwaka
jana Justin Bierber this time ametupwa mpaka nafasi ya 6. na nafasi ya mwisho
yani ya kumi bora imekamatwa na Rais wa Marekani Barack Obama.
0 maoni:
Post a Comment