Msanii chipukizi wa Muziki wa kizazi
kipya nchini, Hotnely A.K.A Hot Love, amewataka Mashabiki wa muziki wa Bongo
Fleva kumpokea vizuri katika ujio wake wa mara ya kwanza.
Ameyasema hayo alipofanyiwa mahojiano na
Mweraamazing, alisema kuwa Ngoma yake hiyo itakwenda kwa jina la War don’t
Stop, imetengenezwa katika studio za Sadactive Record.
0 maoni:
Post a Comment