MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

TANZANIA YACHEZEA KICHAPO DHIDI YA KENYA, SUDANI NA KENYA KUVAANA FAINALI

Kilimanjaro stars 1
Tanzania imechezea kichapo cha Bao moja dhidi ya Kenya katika mchezo wa nusu fainali, Goli hilo limetokana na Kipa wa Starz , Ivo Mapunda , kuutema Mpira na kumkuta mchezaji wa Kenya na kuifanya Timu yake kuongoza mchezo huo.

Tanzania itakutana na Zambia katika kuwania mshoindi wa Tatu, wakati Kenya na itakutana na Sudan, katika mchezo wa Fainali.
Kilimanjaro stars 2
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment