MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

England yachapwa na Ujerumani

LUKASHaki miliki ya pichaREUTERS
Image captionLukas Podolski akishangilia goli alilofunga
Timu ya taifa ya England imekubali kichapo cha bao 1-0 ugenini dhidi ya timu ya taifa ya Ujerumani katika mchezo wa kirafiki.
Bao pekee la ushindi katika mchezo huo liliwekwa kambani na mshambuliaji Lukas Podolski katika dakika ya 69 ya mchezo kwa shuti kali la umbali wa mita 25 lilomshinda kipa wa England Joe Hart.
Mchezo huu wa kirafiki ulikua ni mchezo wa mwisho kwa mshambuliaji huyu wa timu ya taifa ya Ujerumani Lukas Podolski anayestaafu soka la kimataifa akiwa na umri wamiaka 31.
LukasHaki miliki ya pichaREX FEATURES
Image captionPodolski akirushwa juu na wenzake baada ya mchezo kumalizika ikiwa ni sehemu ya kuuga nyota huyo mwenye miaka 31
Mshambulia huyu alianza kuichezea timu ya taifa ya wakubwa mwaka 2004 na kufunga jumla ya magoli 49 katika michezo 130
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment