TAZAMA PICHA ZA UTENGEZWAJI WA VIDEO MPYA YA YOUNG KILLER “ MRS SUPER STAR” ADAMU JUMA IS NEXT LEVEL
Tazama picha za utengenezwaji wa Video mpya ya Young
Killer , ambayo amefanya na wasanii kama vile dongo wa Belle 9, Bright na Nemo.
Ngoma hiyo Audio , imefanywa na Mona Gangstar
wa Classic Sound, wakati video inafanywa na Adamu Juma wa Next Level.











0 maoni:
Post a Comment