Arsenal wanajiandaa kufika bei ya Julian Draxler,
mwenye umri wa miaka 20, ambaye ametambulishwa kama
mlengwa mkuu kwa Gunners katika usajili wa
dirisha dogo baada ya kupita huku na
kule kusaka vipaji.
Arsenal wanaamini kuwa Draxler baada ya kusajili
katika klabu hiyo ataweza kuzipa pengo la Van Persie na Thierry Henry ambao
waliwasili klabu hiyo kama mawinga, lakini
baadaye wakawa washambuliaji hatari
0 maoni:
Post a Comment