MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

ARSENAL YAINGIA MKATABA NA KAMPUNI YA PUMA.



Arsenal yaingia mkataba mnono na Puma
Klabu ya Arsenal imeingia mkataba mnono na kampuni ya PUMA, katika kuwapatia vifaa vya michezo kuanzia julai 2014.


Pamoja na hayo hakuna kiwango cha fedha cha udhamini huo kilichothibitishwa Jumatatu (Jan27), ingawa dili hilo linatajwa kama kubwa zaidi katika historia ya uhusiani wa Puma na Arsenal.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment