Uongozi wa klabu ya Schalke Nuefier umekanusha taarifa
za kupokea ofa kutoka kwenye klabu ay Arsenal ya nchini Uingereza ambayo
inasdaiwa kuwa mbioni kuhitaji uhuduma ya kiungo Julian Draxler.
Meneja wa klabu ya Schalke 04, Horst Held amesema
hakuna ukweli wowote juu ya suala hilo,licha ya kuripotiwa katika vyombo vya
habari nchini Uingereza tangu hapo jana.
0 maoni:
Post a Comment