Mkali huyo toka Naija amefunguka kupitia twitter
alipokuwa akijibu maswali ya mashabiki wake waliotaka kujua mwaka huu
amejipanga vipi na kama kweli ataachia album
mpya au la!
Na hiki ndicho alichokiandika kupitia akaunt yake ya
twitter ““This year I’m focused on the success of my Artists and
Label!! No only me go blow! We all must chop!!! Hkn Gang!” Alitweet Davido.
0 maoni:
Post a Comment