Wasanii wengi miaka hii wamekuwa kukiwaficha watoto
zao kwa muda na kasha kuwaonesha kwenye Mitandao na Media , ni kipindi kifupi
tu toke 2face kupata motto, Kupitia Instagram, 2Face ameshare picha ya mwanae
huyo aliyezaliwa January 3, 2014 na kuandika, “Ma baby gat ma back! Say hi 2
olivia idibia.
Olivia anakuwa mtoto wa saba wa mwimbaji huyo, na
watoto hao amezaa na wanawake watatu tofauti.
0 maoni:
Post a Comment