Hapo jana kulikuwa na uvumi wa kuwa watangazaji Radio
Cloudsfm, Adam Mchomvu, Diva, na B12, walisimamishwa kazi kwa muda usiojulikana,
kutokana na utovu wa nadhamu....................
Mara baada ya uvumi huo, watangazaji hao waliandika
status juu ya swala hilo.
0 maoni:
Post a Comment