MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

LADY JAY DEE, AMEWAJIBU MASHABIKI WAKE



  Lady Jay Dee kusaka vipaji kuanzia February kupitia  kipindi cha Diary ya Lady Jay Dee
Msanii wa muziki nchini Tanzania Lady Jay dee, amekata kiu ya mashabiki wake kufuatia maswalii katika Page yake ya Facebook, juu ya kuwa-help wasanii wachanga, ndipo ailpofunguka na kusema , kuanzia mwezi wa pili mwaka huu, ataanza kuwainua wasanii wadogo.

Mwimbaji huyo wa Yahaya alifunguka wakati akijibu swali la Arnold Mshana aliyetaka kufahamu kwa nini haanzishi kipindi cha kukuza vipaji.

Jide alisema atavisaka vipaji hivyo kupitia kipindi chake ‘Diary ya Lady Jay Dee’.

“It’s in my plan to come up with one, Diary of Lady Jay Dee. This year will have a talent search for Tanzania artists. I will give them the chance to grow. It will be from February.” Alijibu Lady Jay Dee
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment