MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

OMBIA LA MAMA SHARO MILIONEA KWENDA KWA WAANDAAJI WA MOVIES ZA KITANZANIA.


Ikiwa ni zaidi ya mwaka mmoja sasa tangu kufariki kwa Sharo Milionea,Mama mzazi wa Marehemu Sharo Milionea amekuja na ombi kwa ajili ya waandaaji wa Movie za kitanzania hapa nchini...................
Ombi hili ni juu ya kazi mbalimbali alizowahi kufanya marehemu Sharo Milionea na hazikutoka enzi ya uhai wake ambapo mama ameomba kuzisimamisha kazi zote ambazo hazijatoka na marehemu Sharomilionea alishiriki,mpaka wawasiliane na familia hiyo.

Mama mzazi wa marehemu Sharo Milionea ameingia Dar es salaam jumapili,January 26 akitokea nyumbani kwake Kijiji cha Msanga wilaya ya Muheza Mkoa wa Tanga mahsusi kwa ajili ya kuipromote movie itakayoonyesha maisha ya Sharo Milionea.

Wahusika kwenye movie hiyo ni pamoja na Mama mzazi huyo pamoja na wanafamilia wa Sharo Milionea ambapo ndani ya movie hiyo ya maisha ya Sharo Milionea wameigiza tangu amezaliwa hadi alipofariki November 26 2012 kwenye ajali ya gari................
Msikilize hapa...........
Kutoka kwa Millardayo.com
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment