MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

WIMBO MPYA WA MANGWEA “ ALMA” KUTOKA SIKU YA WAPENDANAO TAREHE 14/02/2014



 Exclusive: Wimbo mpya wa Ngwair
Ni muda wa Miezi 8, tokea kifo cha msanii wa muziki nchini Mangwea, kutokea, kutokana na usimamizi wa Nyimbo zake kuwa mzuri sasa inaachiwa wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Alma, unatarajiwa kutoka tarehe 14/02/2014, ikiwa imeambatana na siku ya wapendanao............


Msimamizi
 wa Nyimbo za Mangwea, Bwana Muro, alifanyiwa mahojiano na Times fm, necky utaachiwa rasmi siku ya Valentine na kwamba anaendelea kuwasiliana na familia yake kuhusu mapato ya wimbo huo ambayo atapewa mama yake Ngwair.

“Yeye alitaka kuitoa ngoma hiyo siku ya Valentine mwaka jana, kwa hiyo na mimi nimeamua kuitoa siku hiyo hiyo. Niliongea na Familia Morogoro, na ntawapigia tena ili tuangalie tunachofanya kwa sababu kuna vitu vingi vya kuconsider, kuna mambo ya ringtones na nini na nataka nizungumze pia na makampuni ya simu. Kwa sababu kila alichotakiwa apate yeye (Ngwair) inabidi apate mama yake.” Muro ameiambia tovuti ya Times Fm., alifunguka na kusema kuwa  wimbo huo uliorekodiwa ndani ya AM Records chini ya producer Ma
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment