MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

BEN POL, AMEACHIA SINGLE YAKE YA UNANICHORA, SAMBAMBA NA ALBUM YAKE MPYA, UNAWEZA KUIPATA ALBUM HIYO KWA KUPITIA HIZI LINK……..




Msanii wa R & B, Ben Pol, ameachia wimbomwake mpya wa “ UNANICHORA”  katika wimbo huo kuna sauti ya Joh Makini, msanii huyo ameiyachia single hiyo sambamba na Album yake mpya iliyobeba nyimbo  20. na kuuzwa mtandaoni..........


Ben P, amesema kuwa nyimbo zake zote ziko katika mitando mbalimbali duniani, ameitaja kuwa ni iTunes, Amazon, Spotify, Shazam, Beatsmusic, Xbox music na Google Play. Hiyo ni baadhi ya mitandao ambayo unaweza kununua nyimbo zake kwa kiasi cha dollar 9.99.

Pia kwa wale ambao wanazani kuwa kutumia mtandao ni shida kwao ameamua kufanya mambo kuwa poa zaidi kwa adau wa Tz, kutumia mitandao ya simu katika kulipia nyimbo hizo.

Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment