MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

RAY C, NAKUJA TENA HIVI KARIBU, MASHABIKI WANGU NAJUA MMENI-MISS SANA.



 
Msanii wa Bongo fleva nchini ambaye kwa muda mrefu hakuwa hewani kwa sababu moja mbili hivi, kwasasa ameamua kuja tena, Ray C, alifunguka kupitia akaunt yake ya Instagram, kwa kusema aliwa-miss mashabiki mwake sambamba na jukwa......


“Likizo ya mwaka mzima alhamdullilah !!! Mungu ni mwema sana !!! Asante kwa afya Baba Yangu !!! muda si mrefu ntarudi kazini na uhakika mashabiki wangu wapenzi mmni-miss sana !! kila kitu tayari kimeshapikwa bado tu kuwaambia lini tu but niombeeni heri wapenzi wangu najua sana mmeni-miss sauti ya Ray C, all over the world !!!! jinsi mlivyoniombea zadadi kama kumi hivi nimewaandalia !!! mtashauaje sasa !! kama nawaona vile !!!!!! Bila nyie hakuna Ray C !!!!! Thank you so very much guys !!!! My Fans! My eeverything nawapenda mno!!!!”

Hayo ndiyo maneno ya msanii huyo kwa mashabiki wake.

Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment